chuo kikuu

IQNA

IQNA – Jukwaa la kimataifa litakalojadili mkutano wa hivi karibuni wa tafiti za Qur’ani uliofanyika Los Angeles litafanyika mtandaoni leo na Jumamosi ijayo kupitia jukwaa la Zoom.
Habari ID: 3481626    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/07

IQNA – Baada ya tukio la uhalifu wa chuki lililoripotiwa ambapo dada Muislamu alivamiwa na kufuatwa karibu na Chuo Kikuu cha Columbia kwa sababu ya kuvaa niqab, taasisi hiyo imetoa tamko la kulaani shambulio hilo hadharani.
Habari ID: 3481522    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/16

IQNA – Chuo Kikuu cha Houston kilichopo jimbo la Texas, Marekani, kimetangaza kuwa kinachunguza tukio la kuvunjia heshima nakala ya Qur'an Tukufu wakati wa mkusanyiko wa wanafunzi Waislamu.
Habari ID: 3481472    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/05

IQNA – Tamasha la pili la Futari ya Kimataifa litafanyika katika Chuo Kikuu cha Ahl-ul-Bayt (AS) jijini Tehran wiki ijayo.
Habari ID: 3480296    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03

IQNA - Qur'ani Tukufu ni nyenzo "yenye nguvu" na "ishara tukufu" ambayo inaweza kuwasaidia wasomi kuunda au kurejea nadharia za kisayansi, mwanachuoni anasema.
Habari ID: 3479070    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05

Watetezi wa Palestine
IQNA - Chuo kikuu kimoja nchini Ubelgiji kimesema kitasitisha ushirikiano wake na taasisi mbili za Israel.
Habari ID: 3478801    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10

Elimu
IQNA – Toleo la 16 la Tamasha la Kimataifa la Qur'ani na Hadithi la Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (SAW) limehudhuriwa na wanafunzi kutoka nchi 68.
Habari ID: 3478212    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Waungaji mkono Palestina
WASHINGTON, DC (IQNA) - Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Stanford nchini Marekani wamefanya mgomo wa kujilaza chini ndani ya chuo kwa karibu mwezi mmoja kulaani ukatili wa Israel huko Gaza na kuwataka maafisa wa chuo kikuu kususia miradi na taasisi za kitaaluma za Israel.
Habari ID: 3477909    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Umoja na Amani
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa amesema chuo hicho kinajikita katika kukurubisha madehebu za Kiislamu, umoja, mazungumzo na maelewano baina ya dini.
Habari ID: 3475452    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/02

TEHRAN (IQNA)-Chama cha Barisan Nasional nchini Malaysia kimetangaza mpango wa kujenga Chuo Kikuu cha Qur'ani nchini humo ambapo watakaohitimu hapo watakuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na pia watakuwa wamepata utaalamu katika taaluma nyinginezo.
Habari ID: 3471459    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/09